Examen réglementaire du marché de l’électricité à Madagascar: vers une mobilisation des investissements du secteur privé
Examen réglementaire du marché de l’électricité à Madagascar
Muhtasari
Hii ni taarifa iliyochapishwa na Tume ya Uchumi ya Umoja wa Mataifa kwa Afrika(UNECA). Taarifa hii ilichapishwa kama sehemu ya mfululizo wa taarifa za nishati za nchi nyingine, ambamo uhakiki wa sheria za kudhibiti sekta za umeme katika nchi mbalimbali ulifanyika. Taarifa hizi zinasisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya mashirika ya kibinafsi na ya umma katika kuboresha sekta za nishati za kila nchi. Kila taarifa inatoa uchambuzi wa uwekezaji wa vipengele vitatu kuhusu uwazi, utayari na uvutiaji wa nchi husikja.
Mchango wetu
Kuhariri
Uhariri wa kina
Kusahihisha
Upigaji Picha
Kuchagua na kupanga picha za kutumia kwenye makala ya sekta ya nishati ya nchi husika
Michoro na usanifu wa vielelezo vya taarifa
Kutayarisha na kusanifu michoro na vielelezo vya taarifa ili kuifanya taarifa na data hiyo iwe rahisi kuelewa na kujifunza
Usanifu
Usanifu wa michoro
Uchapishaji kupitia tarakilishi
Uchapishaji
PDF Iliyo tayari kuchapishwa
Faili ndogo ya PDF iliyo rahisi kushiriki na watu mtandaoni
Mwaka wa uchapishaji: 2025